Ajali Dumila Morogoro: Gari ndogo yagongana na Fuso, watatu wapoteza maisha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
AJALI MORO: Watu 3 wamefariki dunia, 5 wamejeruhiwa leo baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Dumila, polisi wathibitisha.
 
Back
Top Bottom