Ajali basi na Lori babarabara ya Igunga Shelui

Ajali basi na Lori babarabara ya Igunga Shelui

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
4,057
Reaction score
2,637
Kuna ajali ya basi la MJS Safaris na Lori Semi trela yamegongana uso kwa uso na kuna vifo na majeruhi pia.

Mvua inanyesha sana maeneo haya.

======

Singida: Ajali ya Basi Kampuni ya MJS na Lori la Mizigo Kampuni ya Azam, imetokea leo Sherui na kusababisha majeruhi 6.

Sababu ya ajali ni Lori kuovertake gari dogo.

Lori lilikuwa linatokea Dar kuelekea Rwanda huku Basi ikiwa inatokea Igunga kuelekea Dar.
 
Duh poleni sana. Mungu awape wepesi majeruhi pamoja na wafiwa.
 
Back
Top Bottom