RIP MAREHEMU, POLENI MAJERUHIWatu watatu wamepoteza maisha na 19 wajeruhiwa leo asubuhi baada ya basi la Nata Raha toka Serengeti kuacha njia na kugonga nyumba Kwa Sabato, Bunda.
Uokoaji waendelea.
Ajali ni mbaya sana.Watu watatu wamepoteza maisha na 19 wajeruhiwa leo asubuhi baada ya basi la Nata Raha toka Serengeti kuacha njia na kugonga nyumba Kwa Sabato, Bunda.
Uokoaji waendelea.
Inauma SanaPoleni sana mliofikwa na ajali hii mbaya, kiukweli ukiitazama ni ajali mbaya sana, na hili basi inasemekana lililetwa kwa ajili ya kushindana na A.M ila sasa inaonekana dereva wake hana uzoefu na mabasi ya scania alikua akiendesha vibasi vidogo.