Informer JF-Expert Member Jul 29, 2006 1,599 6,670 Jan 16, 2016 #1 Basi la Kiruto lililokuwa linatokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo... Watu 3 wamepoteza maisha na majeruhi ni 35.
Basi la Kiruto lililokuwa linatokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo... Watu 3 wamepoteza maisha na majeruhi ni 35.
Amalinze JF-Expert Member May 6, 2012 6,780 5,305 Jan 16, 2016 #2 Poleni wafiwa na Majeruhi get well soon.
Chachu Ombara JF-Expert Member Dec 11, 2012 6,067 10,936 Jan 16, 2016 #5 Hilo basi limefumuka juu wakati wa mshikemshike wa ajali au watu wameng'oa roof kuokoa majeruhi na maiti?
Hilo basi limefumuka juu wakati wa mshikemshike wa ajali au watu wameng'oa roof kuokoa majeruhi na maiti?
idungusi Senior Member Jan 8, 2016 151 76 Jan 16, 2016 #6 Pole kwa ndugu na jamaa wote na majeruhi Bwana awapatie uponyaji wa haraka
Akthoo JF-Expert Member Nov 5, 2007 1,001 1,021 Jan 16, 2016 #10 POLENI WOTE MLIOHUSIKA NA KUGUSWA NA MSIBA WA AJALI HII. INNA LILLAH WA INNA ILLAHI RAJIUN.
Yimakatso JF-Expert Member Jul 11, 2015 6,992 9,373 Jan 16, 2016 #11 Dah,ndo basi la kwenda kwetu hilo na warangi wengi ni ndugu....mungu awalaze mahali pema aminaaaa.
S Sangomwile JF-Expert Member Aug 17, 2012 3,210 1,059 Jan 16, 2016 #14 EMMYGUY said: Marehemu wote waliokufa katika ajali hiyo wapumzike kwa Amani. Click to expand... Uzuri hakuna marehemu aliyekufa.
EMMYGUY said: Marehemu wote waliokufa katika ajali hiyo wapumzike kwa Amani. Click to expand... Uzuri hakuna marehemu aliyekufa.
EMMYGUY JF-Expert Member Aug 6, 2015 11,099 25,346 Jan 16, 2016 #15 Sangomwile said: Uzuri hakuna marehemu aliyekufa. Click to expand... Mkuu, asante kwa kunikumbusha nimesharekebisha.
Sangomwile said: Uzuri hakuna marehemu aliyekufa. Click to expand... Mkuu, asante kwa kunikumbusha nimesharekebisha.