Ajali Basi la Express Toka Kiomboi Lapinduka na Kuua Wawili.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,689
119,326
Watu 2 wafariki na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya National Express kutoka Kiomboi kuelekea Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka.

Source. Radio One Breaking News

Paskali
 
Pole Sana wanafamilia wenye ndugu na jamaa wa marehemu na majeruhi, ukifuatilia mwendokasi , jamani watatumaliza
 
Pole kwa Wafiwa; huwa nasema; Tanzania hatuna vita vya mtutu was bunduki, ila kuna vita ya kimya kimya ya ajali! Tuwe makini na namna tunavyotumia vyombo vya usafiri!
 
Back
Top Bottom