Hii basi ya wapi ?
Hii tabia ya kukimbizana tena kwa spidi kubwa kwa kufuatana nyuma kwa gap hata ya Mita 5 mpaka 10 Ndio style ya udereva wa kisasa uwezo wa kufikiri haupo kabisa hawezi kujua lolote likitokea nafasi ya kurekebisha inakosekana .
Hapo dreva Anakuambua anakimbiza awahi kufika akalale na ma...ya gesti.
Gap yake na lori ilikuwa ndogo kiasi alikuwa haona mbele ya lori kuna nini mpaka akawa anainamia kuchungulia pembeni akashindwa kumiliki gari.
Mgongano wa kwanza na lori akakwepesha upande wake usiumie waumie upande mungine Ndio akakutana na basi ukawa mgongano wa pili kwa vyovyote aliadhirika.
Inasikitisha abiria wananyamaza kimya kwa uoga huku mtu mmoja akifanya uhuni wa kusababisha hatari atakavyo tena kwa uzembe wa makusudi