VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Nov 25, 2010 6,135 17,802 Apr 29, 2012 #1 Kumetokea ajali maeneo ya Kimara Baruti. Nimepita tu eneo hilo. Yaonekana kama ni lori na gari dogo. Aliye hapo,atujuze..
Kumetokea ajali maeneo ya Kimara Baruti. Nimepita tu eneo hilo. Yaonekana kama ni lori na gari dogo. Aliye hapo,atujuze..
K Kamongo JF-Expert Member Mar 20, 2009 1,956 2,072 Apr 29, 2012 #4 VUTA-NKUVUTE said: Kumetokea ajali maeneo ya Kimara Baruti. Nimepita tu eneo hilo. Yaonekana kama ni lori na gari dogo. Aliye hapo,atujuze.. Click to expand... Nimeshuhudia lori aina ya Scania limegonga na kulikandamiza gari dogo toyota corola mpaka naondoka watu ndani ya gari ndogo hawajatolewa
VUTA-NKUVUTE said: Kumetokea ajali maeneo ya Kimara Baruti. Nimepita tu eneo hilo. Yaonekana kama ni lori na gari dogo. Aliye hapo,atujuze.. Click to expand... Nimeshuhudia lori aina ya Scania limegonga na kulikandamiza gari dogo toyota corola mpaka naondoka watu ndani ya gari ndogo hawajatolewa
Losambo JF-Expert Member Nov 8, 2011 2,612 864 Apr 29, 2012 #5 Kamongo said: Nimeshuhudia lori aina ya Scania limegonga na kulikandamiza gari dogo toyota corola mpaka naondoka watu ndani ya gari ndogo hawajatolewa Click to expand... Duuuuuh aisee wenye magari makubwa wanatuonea sana wenye magari madogo.
Kamongo said: Nimeshuhudia lori aina ya Scania limegonga na kulikandamiza gari dogo toyota corola mpaka naondoka watu ndani ya gari ndogo hawajatolewa Click to expand... Duuuuuh aisee wenye magari makubwa wanatuonea sana wenye magari madogo.
sun wu JF-Expert Member Apr 1, 2012 2,020 1,419 Apr 29, 2012 #7 Poleni waliopata ajali.. Lakini mkuu hii taarifa ya ajali unavyotangaza kama vile unauza bidhaa ?
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Apr 29, 2012 #9 VUTA-NKUVUTE said: Kumetokea ajali maeneo ya Kimara Baruti. Nimepita tu eneo hilo. Yaonekana kama ni lori na gari dogo. Aliye hapo,atujuze.. Click to expand... watakuwa wanashangilia simba hao pole zao...
VUTA-NKUVUTE said: Kumetokea ajali maeneo ya Kimara Baruti. Nimepita tu eneo hilo. Yaonekana kama ni lori na gari dogo. Aliye hapo,atujuze.. Click to expand... watakuwa wanashangilia simba hao pole zao...