Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,306
Sijakuelewa,Mimi kwangu ni pesa, nikiwa na 5,000 ndiyo siku mitatamani kula soup ya ulimi, nyama choma, mtoto, na ndovu baridi.
Nikiwa na laki ambayo haina budget, wali maharage na uhai vinashuka vizuri tu.
Kumbe ni hvoHiyo sio kwa wanawake tu hata wanaume ni hivo hivo....
Ukiwa single wapo mbali, ukimilikiwa wanamiminika kama nyuki, barabarani ukiwa mwenyewe hamna shida ukiwa na mme utakonyezwa weee sijui kwanini.
kapeace ujue me huwa nashangaa na siwaelew wanawake wanaume masingle wako weng and they are very lonely....yan tena wanaugwadu wakufa mtuUnamwachia Mungu sio madam?? Ukweli vita ya kugombea bwana huwa ni mbaya sana
hhaha mkuu nisipigane nayo si ndio ??Mkuu maandiko yalishasema mwenye nacho ataongezewa na asienacho atapokonywa hata kile kidogo...Naona mkuu unataka kupingana na maandiko shauri yako
manigger everytime i look at them they are like on a race and at war...like i have a real time example...i have my main chick who happens to have a friend who knows everything about our relationship lakin hachoki kuntumia picha zake amekaa sexy sexy yan ningekuwa na roho nyepesi ningekuwa nimeshasmash...i am acting a fool...kwanini asikwende huko akapate dick ya another dude ?...alot of lonely horny niggers out there.....know one thing women were born natural competitive, they just earning it!
na unataka hilo liwe tatizo langu mkuu ?...ivi kwanini WaAfrica tunapenda matatizo yetu kuyafanya matatizo ya watu wote, kiongozi mtu anaeweza kutatua tatizo lako vizur ni wewe mwenyewe na sio mtu mwingine...ndio kupambana na hali huko kaka...Sijaelewa chochote hiyo lugha uliyotumia..
hahaha salt..aisee wanawake ndio wamezid yan kama wanapigana WWIIHiyo sio kwa wanawake tu hata wanaume ni hivo hivo....
Ukiwa single wapo mbali, ukimilikiwa wanamiminika kama nyuki, barabarani ukiwa mwenyewe hamna shida ukiwa na mme utakonyezwa weee sijui kwanini.
Cha mwenzako kitamumanigger everytime i look at them they are like on a race and at war...like i have a real time example...i have my main chick who happens to have a friend who knows everything about our relationship lakin hachoki kuntumia picha zake amekaa sexy sexy yan ningekuwa na roho nyepesi ningekuwa nimeshasmash...i am acting a fool...kwanini
asikwende huko akapate dick ya another dude ?...alot of lonely horny niggers out there.....
Sisi tukipenda tunapenda kweli si kwamba uko perfect sana au unajua kudomba sana kuliko wanaume wengine ni moyo tu wa demu husika umekudondokea kwahiyo anapambana kuona km anaweza kuwin kwako, tatizo huyo huyo akiona hafanikishi lengo lake yaani akikukatia tamaa huo upendo ukigeuka chuki utaona rangi zote za dunia chunga sana hisia za mwanamkekapeace ujue me huwa nashangaa na siwaelew wanawake wanaume masingle wako weng and they are very lonely....yan tena wanaugwadu wakufa mtu
ktk ubora wako!Na hakika utawaka tamaa juu yake nae atakutawala, ni laana tuliyopewa juu yenu siku ile ya Eva kula tunda la mti wa katikati
Hiyo sentensi inayaakisi maisha halisi ya mwanamke Mara tu unapobalehe unaanza kuhisi kutaka mwanaume unaota mume na watoto unaanza kujipendezesha ili umpate mwanaume na ukimpata ni kulinda himaya yako ili bwana asione mwanamke mwingine zaidi yako hali ya ushindani inakuwa kali sana kati ya yule mmiliki na wala sidechicks kila mmoja anataka kumuonyrsha mwenzie kwamba mume ananipenda mimi
Usiombe haohao wakakukatia tamaa utajuta maisha ya kuchanganya wanawake ni hulka yenu ila akikugundua na akachoka anakupangia mashambulizi ya kukuangamiza ni ke wachache ambao huwa tunasema namwachia Mungu lkn waliosalia anakuua au kukuroga na hapo ndo mwisho wako
Ninayo mifano hai ya jinsi wanawake walivyogundua na hatua walizochukua sisi kweli ni nyoka na adui wa mwanamke ni mwanamke
daaaah..kaz kweli kweliCha mwenzako kitamu
Ajabu ya wanawake mnatuita viumbe dhaifu lakini anguko lenu lipo mikononi mwetu tuheshimiane tu hata kama mnatupanga lkn tusijuanektk ubora wako!
KiswaEnglishWadau ivi kwanini ukiwa huna hata mwanamke mmoja kuwapata inakuwa kazi ila ukiwa nae unakuta wengine wanamiminika mpaka unakimbia ?...sasa jaribu kuwapiga chini wote uone moto wake....
Alafu jambo lingine ivi girls huwa wanalichukuliaje swala la kuwa a side chick ?... are they competing with the main chick ? au they are trying to be patient hopping one day they will win u over the main chick ?...au its just a way of girls staying relevant by having a man regardless the mans situation ?...
Aisee ni kweli yaan demu akitongozwa na jamaa aliyetulia huwa wanachomoa ila akitobgozwa na jamaa ambaye ana mahusiano Tatar ah happ huwa wanakubali fast a sijui kwann Hawa watu wanakuwa hiviWadau ivi kwanini ukiwa huna hata mwanamke mmoja kuwapata inakuwa kazi ila ukiwa nae unakuta wengine wanamiminika mpaka unakimbia ?...sasa jaribu kuwapiga chini wote uone moto wake....
Alafu jambo lingine ivi girls huwa wanalichukuliaje swala la kuwa a side chick ?... are they competing with the main chick ? au they are trying to be patient hopping one day they will win u over the main chick ?...au its just a way of girls staying relevant by having a man regardless the mans situation ?...
kuna jamaa kasema tusibishane na maandiko eti ya kwamba aliyenacho huongezewa hahaahaAisee ni kweli yaan demu akitongozwa na jamaa aliyetulia huwa wanachomoa ila akitobgozwa na jamaa ambaye ana mahusiano Tatar ah happ huwa wanakubali fast a sijui kwann Hawa watu wanakuwa hivi
kweli kabisa! usilolijua haliwezi kukusumbua..Ajabu ya wanawake mnatuita viumbe dhaifu lakini anguko lenu lipo mikononi mwetu tuheshimiane tu hata kama mnatupanga lkn tusijuane