Ajabu sana, Unataka Wife Material hali ya kuwa wewe sio Husband Material?

khalta

Member
Oct 21, 2017
66
123
Habar
Nashangaa sana mtu anaposema nataka mwanamke mzuri,mwenye elimu,Sijui masifa kedekede ambapo anasahau kwamba kila mtu amelelewa kivyake,kila mtu anatabia zake alizofunzwa kwao

Unawezaje kutaka mke MchaMUNGU hali ya kuwa ww huna hata uelekeo wala dalili huna

Unawezaje kutaka mwanamke mzuri wakati unamkono wa birika unataka ukamfujeeee?kwanza hakuna mwanamke mbaya mwanamke ni matunzo tu

Nakwambia hv muhuni utamuoa muhuni mwenzio,Mcha Mungu atamuoa Mcha Mungu mwenzie,muongo atamuoa muongo mwenzie,halikadhalika jizi na lenzie

Msijifanye nataka Wife Material,Wife material sio rahc hvyo

Wife material anajitengeneza mwenyewe lkn pia anaweza kutengenezwa na mwanaume mwenye nia ya dhati kwa maana ya kumuongoza yaliyo mema na kumkataza mabaya kwa nia njema tu ww tabia chaaaafu alafu unataka mtot wa watu mtulivu khaaa N'kaaaaziii hiyo

Wanaume wa kisasa bana
 
Ebu acha Majungu...! Kwanza umezalisha msemo wako wa HUSBAND MATERIALS hope feminism ndiyo inakuongoza ila nikukukumbushe Africa tunaoa na kuolewa hatuoani..! Mambo ya wazungu kuoana peleleka huko..
 
Wewe ni wife materials??
 
Mwanamke yeyote mwenye vagina ni wife material, elimu kwani mi nataka kumpa kazi?
 
Ndoa nzuri ni mpango wa mungu kukupa wa kufanana nawe mcha mungu kwa mcha mungu mlevi kwa mlevi malaya hari kadharika mazingira yatawakutanisha kwa tabia zenu
 
SAWA SAWAAAAA
 
EXACTLY


Aisee Umenena Vema Sana.
 
Kama sisi ni wanaume wa kisasa?? Wewe ni mwanamke wa Kienyeji kumbe?? Halafu mbona kama povu
 
Upo sahihi kabisa, watu wenye vigezo na masharti mengi sana mie huwa nawaita wabinafsi na wengi wao ukiwauliza swali hili huwa hawana jibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…