khalta
Member
- Oct 21, 2017
- 66
- 123
Habar
Nashangaa sana mtu anaposema nataka mwanamke mzuri,mwenye elimu,Sijui masifa kedekede ambapo anasahau kwamba kila mtu amelelewa kivyake,kila mtu anatabia zake alizofunzwa kwao
Unawezaje kutaka mke MchaMUNGU hali ya kuwa ww huna hata uelekeo wala dalili huna
Unawezaje kutaka mwanamke mzuri wakati unamkono wa birika unataka ukamfujeeee?kwanza hakuna mwanamke mbaya mwanamke ni matunzo tu
Nakwambia hv muhuni utamuoa muhuni mwenzio,Mcha Mungu atamuoa Mcha Mungu mwenzie,muongo atamuoa muongo mwenzie,halikadhalika jizi na lenzie
Msijifanye nataka Wife Material,Wife material sio rahc hvyo
Wife material anajitengeneza mwenyewe lkn pia anaweza kutengenezwa na mwanaume mwenye nia ya dhati kwa maana ya kumuongoza yaliyo mema na kumkataza mabaya kwa nia njema tu ww tabia chaaaafu alafu unataka mtot wa watu mtulivu khaaa N'kaaaaziii hiyo
Wanaume wa kisasa bana