Ajabu sana, Unataka Wife Material hali ya kuwa wewe sio Husband Material?

khalta

Member
Oct 21, 2017
66
123
Habar
Nashangaa sana mtu anaposema nataka mwanamke mzuri,mwenye elimu,Sijui masifa kedekede ambapo anasahau kwamba kila mtu amelelewa kivyake,kila mtu anatabia zake alizofunzwa kwao

Unawezaje kutaka mke MchaMUNGU hali ya kuwa ww huna hata uelekeo wala dalili huna

Unawezaje kutaka mwanamke mzuri wakati unamkono wa birika unataka ukamfujeeee?kwanza hakuna mwanamke mbaya mwanamke ni matunzo tu

Nakwambia hv muhuni utamuoa muhuni mwenzio,Mcha Mungu atamuoa Mcha Mungu mwenzie,muongo atamuoa muongo mwenzie,halikadhalika jizi na lenzie

Msijifanye nataka Wife Material,Wife material sio rahc hvyo

Wife material anajitengeneza mwenyewe lkn pia anaweza kutengenezwa na mwanaume mwenye nia ya dhati kwa maana ya kumuongoza yaliyo mema na kumkataza mabaya kwa nia njema tu ww tabia chaaaafu alafu unataka mtot wa watu mtulivu khaaa N'kaaaaziii hiyo

Wanaume wa kisasa bana
 
Ebu acha Majungu...! Kwanza umezalisha msemo wako wa HUSBAND MATERIALS hope feminism ndiyo inakuongoza ila nikukukumbushe Africa tunaoa na kuolewa hatuoani..! Mambo ya wazungu kuoana peleleka huko..
 
Habar
Nashangaa sana mtu anaposema nataka mwanamke mzuri,mwenye elimu,Sijui masifa kedekede ambapo anasahau kwamba kila mtu amelelewa kivyake,kila mtu anatabia zake alizofunzwa kwao

Unawezaje kutaka mke MchaMUNGU hali ya kuwa ww huna hata uelekeo wala dalili huna

Unawezaje kutaka mwanamke mzuri wakati unamkono wa birika unataka ukamfujeeee?kwanza hakuna mwanamke mbaya mwanamke ni matunzo tu

Nakwambia hv muhuni utamuoa muhuni mwenzio,Mcha Mungu atamuoa Mcha Mungu mwenzie,muongo atamuoa muongo mwenzie,halikadhalika jizi na lenzie

Msijifanye nataka Wife Material,Wife material sio rahc hvyo

Wife material anajitengeneza mwenyewe lkn pia anaweza kutengenezwa na mwanaume mwenye nia ya dhati kwa maana ya kumuongoza yaliyo mema na kumkataza mabaya kwa nia njema tu ww tabia chaaaafu alafu unataka mtot wa watu mtulivu khaaa N'kaaaaziii hiyo

Wanaume wa kisasa bana
Wewe ni wife materials??
 
Mwanamke yeyote mwenye vagina ni wife material, elimu kwani mi nataka kumpa kazi?
 
Ndoa nzuri ni mpango wa mungu kukupa wa kufanana nawe mcha mungu kwa mcha mungu mlevi kwa mlevi malaya hari kadharika mazingira yatawakutanisha kwa tabia zenu
 
Kuna swali huwa nawauliza vijana wenzangu na ni wachache wamenijibu swali lenyewe ni

"Je uko tayari Mungu akupe Mume au Mke mwenye tabia kama zako??"

Yaani namaanisha kama ni kijana wa kiume umetembea na wanawake 20 basi na Atakayekuja kuwa mkeo naye awe ameshalala na wanaume wasiopungua 20..... Kama unakunywa chupa sita za Bia kila siku na yeye vivyo hivyo...yaani tabia na mienendo yako iwe inaendana na yake kila kitu..

Na kwa mwanamke hivyo hivyo kama umetembea na waume za watu na atayekuja kuwa mumeo naye ukute alishatembea na wake za watu...kama mwanaume hakupiti naye hakuna mwanamke anampita....

Hili swali ni watu wachache sana wamejibu Ndiyo ....wengi wao wameguna....kiuhalisia watu hasa wanaume wanataka wanawake mabikira ilihali wao hawajatulia hata kidogo....
Ila vijana tukumbukeni Mungu hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna...kipimo unachopima kwa wengine na wewe utapimiwa hicho hicho na kujaziwa mpaka kifurike...
Unachowafanyia wanawake wa wa wenzio na wewe wa kwako anafanyiwa hivyo hivyo na hauna namna ya Kukwepa...Tarajia kupokea kulingana na unachotoa kwa wengine...
SAWA SAWAAAAA
 
EXACTLY

Aisee Umenena Vema Sana.
 
Habar
Nashangaa sana mtu anaposema nataka mwanamke mzuri,mwenye elimu,Sijui masifa kedekede ambapo anasahau kwamba kila mtu amelelewa kivyake,kila mtu anatabia zake alizofunzwa kwao

Unawezaje kutaka mke MchaMUNGU hali ya kuwa ww huna hata uelekeo wala dalili huna

Unawezaje kutaka mwanamke mzuri wakati unamkono wa birika unataka ukamfujeeee?kwanza hakuna mwanamke mbaya mwanamke ni matunzo tu

Nakwambia hv muhuni utamuoa muhuni mwenzio,Mcha Mungu atamuoa Mcha Mungu mwenzie,muongo atamuoa muongo mwenzie,halikadhalika jizi na lenzie

Msijifanye nataka Wife Material,Wife material sio rahc hvyo

Wife material anajitengeneza mwenyewe lkn pia anaweza kutengenezwa na mwanaume mwenye nia ya dhati kwa maana ya kumuongoza yaliyo mema na kumkataza mabaya kwa nia njema tu ww tabia chaaaafu alafu unataka mtot wa watu mtulivu khaaa N'kaaaaziii hiyo

Wanaume wa kisasa bana
Kama sisi ni wanaume wa kisasa?? Wewe ni mwanamke wa Kienyeji kumbe?? Halafu mbona kama povu
dad825db8311766d2bbbf421aa04652d.jpg
 
Kuna swali huwa nawauliza vijana wenzangu na ni wachache wamenijibu swali lenyewe ni

"Je uko tayari Mungu akupe Mume au Mke mwenye tabia kama zako??"

Yaani namaanisha kama ni kijana wa kiume umetembea na wanawake 20 basi na Atakayekuja kuwa mkeo naye awe ameshalala na wanaume wasiopungua 20..... Kama unakunywa chupa sita za Bia kila siku na yeye vivyo hivyo...yaani tabia na mienendo yako iwe inaendana na yake kila kitu..

Na kwa mwanamke hivyo hivyo kama umetembea na waume za watu na atayekuja kuwa mumeo naye ukute alishatembea na wake za watu...kama mwanaume hakupiti naye hakuna mwanamke anampita....

Hili swali ni watu wachache sana wamejibu Ndiyo ....wengi wao wameguna....kiuhalisia watu hasa wanaume wanataka wanawake mabikira ilihali wao hawajatulia hata kidogo....
Ila vijana tukumbukeni Mungu hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna...kipimo unachopima kwa wengine na wewe utapimiwa hicho hicho na kujaziwa mpaka kifurike...
Unachowafanyia wanawake wa wa wenzio na wewe wa kwako anafanyiwa hivyo hivyo na hauna namna ya Kukwepa...Tarajia kupokea kulingana na unachotoa kwa wengine...
Upo sahihi kabisa, watu wenye vigezo na masharti mengi sana mie huwa nawaita wabinafsi na wengi wao ukiwauliza swali hili huwa hawana jibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom