shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.
Nyofoa hilo gumu ili apone.
sasa mnataka aende hospitali ili waitoe iyo ilozidi? iyo ndo inafaa aiache itumike kama gia ya four wheel nguvu za kiume zikimpungua
kaazi kweli kweli, yaani tatizo siliaz kama hilo unalifanyia porojo? Unamdhalilisha mmeo? Hebu nendeni hospitali mara moja, hili halihitaji kujadiliwa hapa JF! Enheee... nimekumbuka, kwanza wewe ulijuaje kama wanaume wengine wanazo mbili, tofauti na tatu za mmeo?Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.
Amesha kuzalisha watoto wangapi kwani?
Ha ha ha umenivunja mbavu,huu sasa sio u great thinker ni uchakachuaji mbna mkuu una mawazo ya ajabu hivi?sasa mnataka aende hospitali ili waitoe iyo ilozidi? iyo ndo inafaa aiache itumike kama gia ya four wheel nguvu za kiume zikimpungua