BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,913 Jun 15, 2017 Thread starter #201 areafiftyone said: Huyu bwana damu yake ni ya kifisadi.Kama ufisadi ungewezekana kuwa inherited, tungeweza kusema ana genes za kifisadi. Mimi Nashangaa kwa nini mpaka leo yuko kwenye system yetu.Ni lazima ana kitu extremely abnormal ambacho watu wengine hawana. Click to expand... Kamati yake ya ufundi ni balaa!Anajua madhaifu ya sheria za Tanzania Anatuliza kila kukicha
areafiftyone said: Huyu bwana damu yake ni ya kifisadi.Kama ufisadi ungewezekana kuwa inherited, tungeweza kusema ana genes za kifisadi. Mimi Nashangaa kwa nini mpaka leo yuko kwenye system yetu.Ni lazima ana kitu extremely abnormal ambacho watu wengine hawana. Click to expand... Kamati yake ya ufundi ni balaa!Anajua madhaifu ya sheria za Tanzania Anatuliza kila kukicha