Kama una account bank na ukajiunga na internet banking na kuwezeshwa kununua kupitia internet utafanikiwa kwa urahisi sana. Mimi nina account CRDB na nimewezeshwa kununua kwa internet. Ninatumia AITV na ninalipa USD 6 kwa mwezi. Ni rahisi sana.Unalipa tu kwa kutumia VISA card ya benki yako.ni app ya kuangalia tv channels live nying za kiafrica. lakin namna ya kujiunga furushi lao haiko wazi licha ya umuhim wake hasa kwa tunaotaka habar tukiwa mbali na tv. mtu mmoja humu alitoa no ya kulipia m pesa 337777 lakin haitambulik popote nilpofuatilia. mhusika hebu fafanua humu tunufaike nayo.
tatizo jingne ukifuatilia namna ya kulipia hata kwa visa bado haijifungui kufika hatua hiyo ya payment method. labda huko mlipo inaenda vizuri. mwenye kujua tatizo atujuze
Nimekuta info hizi mahali kuhusu hii application: Developer ni AITV Ltd. E-mail yao ni aitv-apps@aitvdpp.com na address yao ni 1st Floor, Alfa House, New Bagamoyo Rd, P.O. Box 40124 Dar es Salaam. Nashangaa hawajitangazi sana sijui kwa nini.
Mzee ES,
Aaaah vipi tena mwenzangu...hilo neno mwandawazimu siku hizi linatumika kwa mtu asiyejali, ogopa, mchukua risk pale kila mtu huchomoa. Hata muuza unga hasa wale wameza vipipi ama ambaye hupita sehemu zisizopitika na kushinda huitwa mwendawazimu...Yaani sifa yenye risk kubwa na bado unashinda..
Nilipoisoma hiyo barua ya huyu mshirika mwenyewe nilinywea, maanake huyu jamaa siku zote nashindwa kuelewa ubavu kaupata wapi! Nasikia Washington walipoipata barua wenyewe wametaka mazungumzo zaidi ya usalama badala ya agenda yao ya kuishambulia ama kuweka vikwazo. Libya nao wamekubali kuongeza kutoa mafuta kwa Marekani kufidia upungufu, sasa hivi urafiki umerudi tena kwa nguvu zaidi yaani Marekani sasa hivi amekuwa yeye ombaomba na kuwakumbatia madikteta wote!
Hivi, ni kitu gani hasa kinampa kichwa Ahmednajed kusimama na Bush hali majeshi ya Bush yako puani mwake!. Huu kama sii wendawazimu sijui niite nini.