Aiseh, Ni kaazi kweli kweli

Ublack wa mamaye ndo unamfanya mtoto aonekane mweupe zaidi afu hii picha kama imeeditiwa vile
 
hii nikuhakikisha kama mungu yupo na kila analo tenda halina makosa
 
wanasema kisayansi kuwa a the blacks are dominant gene na ndio maana mzungu hawezi kuzaa mtu mweusi lakini mweusi anazaa mweupe.

Kwa maana rahisi ni kuwa wazungu wametokana na waafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…