Aiseeh! Mke wa Mtu sumu

Haya mambo yapo... Pole Sana naamini hutajaribu Tena kucheza na wanawake Popote utakapokuwa
 
Ipo dawa ktk baadhi ya wilaya za mkoa wa Tanga hasa Handeni na Kilindi ambapo mke hutegwa na mmewe bila yeye kujua na ni mtego wa mtu mmoja haurudii hadi uwekwe tena, mtego huu ni kwamba ukimchukuwa mke wa mtu abdala kichwa wazi akigusa ile Labia majora kabla minora haijafikiwa utahisi kishindo kikubwa kikiambatana na maumivu makali tumboni na hapo tayari guts and visceros yaani tumbo, ùtumbo, figo, maini vinaķatwakatwa kama msusa na on the spot muhusika ataanza kunya damu nzito ikiwa na vipande vya vile viungo vinavyokatwakatw.

Kikawaida mhusika aliyekumbwa na kadhia hii hatoweza kuongea wala kulalamika na hatokuwa na nguvu ya kujitoa pale kifuani au whatever the style na mwanamke atamsogeza huku jamaa akigugumua kwa maumivu mabaya na ya kutisha, kwa mfano kama walikuwa ndani kwa mwanamke basi jamaa ataburutwa hadi somewhere angalau isionekane alikuwa wapi na jamaa atakajikatia moto hapo, wengine wanaoenda porini mwanamke akiona hiyo hali humwacha jamaa hapo na kukimbia zake mara nyingi wawindaji walikuta mizoga ya aina hii mingi tu porini,

Nakumbuka kuna ndugu yangu akiwa graduate wa masters ya medicine alisomea Stockholm Sweden aliporudi alikuta girlfriend wake kaolewa jamaa akaanza kuzindua kiporo alionywa na mme wa huyo sister jamaa akakomaa kwamba hajamgusa mwenye mke akautega Huo mtego unaitwa USINGA jamaa yetu bila kujua akaenda kula mzigo tena nyumbani kwa muolewa kilichomkuta ni historia ambayo haitofutika kwenye ukoo.

Huyiu jamaa aliweza kutoka mwenyewe kwenye ile nyumba akitembe kwa miguu na mikono kama mbuzi huku akigugumia kama lori lenye mzigo linapanda mlima kitonga wa enzi hizo, ndiye binadamu pekee aliweza kuishi siku 7 na hii yali ya kutisha na kuogofya, miguu na mkono yake ilikuwa migumu mithili ya mbao za mpingo alikonda akabaki kichwa tu na alikuwa anakunywa maji ndoo moja na nusu kwa siku baada ya kufa alivunjwa uti wa mgongo kwani alijikunja kabla hajafa.
 

Tupe utamu wa friza za mochwari bro?
 
Hizo movie za kibongo bongo hizo zinawapoteza
 
alistahili kifo.
 
Bado watu hawaamini kuwa haya mambo yapo
 
Bado watu hawaamini kuwa haya mambo yapo
Kuamini au kutoamini uwepo wa hii mizizi hakuihamishi huko iliko tumeikuta tutaiacha kama mapenzi maana kuna watu hawaamini uwepo hata wa mapenzi na akati ndo yamewaleta
 
Mfu
 
Nikifika nimtafute nani!?
Huna haja ya kumtafuta mtu, ukifika ulizia tu natafuta dawa ya kumdhibiti mke wangu, ulizia kwa mzee yoyote utapewa maelezo utaipata wap
 
Kuamini au kutoamini uwepo wa hii mizizi hakuihamishi huko iliko tumeikuta tutaiacha kama mapenzi maana kuna watu hawaamini uwepo hata wa mapenzi na akati ndo yamewaleta
True bro
 
Kijana ulikuwa hujui watu wakisema mke wa mtu ni sumu? Sio kila kitu cha kujaribu embu fuata yasemwayo utakuja kujuta mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…