M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,144 Jul 9, 2016 #3 Natamani ningemuona huyu m dent. Hakika naamini, alikuwa the best in Tanzania. Kila kitu zindika banaa, chaa.
Natamani ningemuona huyu m dent. Hakika naamini, alikuwa the best in Tanzania. Kila kitu zindika banaa, chaa.
KWEZISHO JF-Expert Member Jan 29, 2016 7,519 6,516 Jul 9, 2016 #4 Mhh huyu anaamini hilo pembe laweza kumfaulisha mtihani!
Lusajo11 JF-Expert Member Dec 13, 2014 1,887 1,962 Jul 9, 2016 #8 Chombo chake cha usafiri. Sikuizi wanacharge parking hata ukiegesha getini kwako so mshkaji akaona isiwe kesi, nachoma nalo ndani
Chombo chake cha usafiri. Sikuizi wanacharge parking hata ukiegesha getini kwako so mshkaji akaona isiwe kesi, nachoma nalo ndani
Charles Gerald JF-Expert Member Mar 31, 2016 1,394 1,816 Jul 9, 2016 #9 Huyo kaongea kilugha, kapewa adhabu ya kushikilia pembe.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Jul 9, 2016 #10 Hizi adhabu za ki tulia tulia zipigwe marufuku.
M mkupuo JF-Expert Member Apr 6, 2012 1,807 2,042 Jul 9, 2016 #12 Duh yani hapo majibu yote ya mitihani kutoka kwa vipanga wa darasa lazima yaje yenyewe kwa dogo. Dogo lazima apate divisheni one tu.
Duh yani hapo majibu yote ya mitihani kutoka kwa vipanga wa darasa lazima yaje yenyewe kwa dogo. Dogo lazima apate divisheni one tu.