Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 239
- 169
Yote Kwa yote jamaa hafai kuwa waziri wa elimu. Hana maono akili yake fupi mno. Anachozungumzia ni Bure kabisa. Maana watu wamepata Hadi 80 % huko na wakakatwa sijuwi ubora wake unaanzia asilimia ngapi huyo jamaa. But all in all, watu wa jimboni kwake fanyeni juu chini huyu jamaa asirudi kabisa bungeni nae ajiendeleze au ajiajiri.Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.
Jipangene jamaa wapo siriasi.
Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi.
Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto walishwe vilivyo vinono.
Akasema kuwa vigezo sijui umemaliza zama sijui mwaka huu,unapaswa kujiendeleza ili ushindane akatolea mfano nchi kama ghana wanafanya hivi.
Prof akaenda mbali zaidi akasema hatuwezi kuwa na walimu wa kufundisha kiingereza ilhali hawajui kiingereza hivyo lazima tutafute kilicho bora kwa watt wetu.
Soma Pia: Prof. Adolf Mkenda: Walimu endeleeni kujiendeleza hata kama hamna ajira ili kuwasaidia wakati wa usa
Rais amezungumzia maslahi ya walimu ni lazima sasa tuandae hao walimu wa kupata hayo maslahi.
Kwa hiyo kama bado kaka ama dada kaza sana jamaa wana lao jambo maana wamesema lazima tufanye maamuzi magumu.
Sasa tuache mazoea tujifue maana wanapoendea kutakuwa na kufukuzana kazi.
Waliokazini nao watafuatwa kupimwaaaa.
Mbwa kabisa Ma CCM.Kama siyo upumbavu ni Nini? Mtu hana ajira na alisoma kwa mkopo, atajiendelezaje? Serikali haramu ya CCM Haina lengo zuri kwa Taifa. Wao wameshiba, kazi yao ni kupayuka tu
Mtu aliyeshiba, kupanua domo bila hata kufikiria ni jambo la kawaida sanaKazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.
Jipangene jamaa wapo siriasi.
Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi.
Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto walishwe vilivyo vinono.
Akasema kuwa vigezo sijui umemaliza zama sijui mwaka huu,unapaswa kujiendeleza ili ushindane akatolea mfano nchi kama ghana wanafanya hivi.
Prof akaenda mbali zaidi akasema hatuwezi kuwa na walimu wa kufundisha kiingereza ilhali hawajui kiingereza hivyo lazima tutafute kilicho bora kwa watt wetu.
Soma Pia: Prof. Adolf Mkenda: Walimu endeleeni kujiendeleza hata kama hamna ajira ili kuwasaidia wakati wa usa
Rais amezungumzia maslahi ya walimu ni lazima sasa tuandae hao walimu wa kupata hayo maslahi.
Kwa hiyo kama bado kaka ama dada kaza sana jamaa wana lao jambo maana wamesema lazima tufanye maamuzi magumu.
Sasa tuache mazoea tujifue maana wanapoendea kutakuwa na kufukuzana kazi.
Waliokazini nao watafuatwa kupimwaaaa.
Kada ya ualimu ina dharauliwa sana sababu walimu ni watu wa kujipendekeza sana, wanachongeana, Hawana msimamo na hawajiaminiKazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.
Jipangene jamaa wapo siriasi.
Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi.
Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto walishwe vilivyo vinono.
Akasema kuwa vigezo sijui umemaliza zama sijui mwaka huu,unapaswa kujiendeleza ili ushindane akatolea mfano nchi kama ghana wanafanya hivi.
Prof akaenda mbali zaidi akasema hatuwezi kuwa na walimu wa kufundisha kiingereza ilhali hawajui kiingereza hivyo lazima tutafute kilicho bora kwa watt wetu.
Soma Pia: Prof. Adolf Mkenda: Walimu endeleeni kujiendeleza hata kama hamna ajira ili kuwasaidia wakati wa usa
Rais amezungumzia maslahi ya walimu ni lazima sasa tuandae hao walimu wa kupata hayo maslahi.
Kwa hiyo kama bado kaka ama dada kaza sana jamaa wana lao jambo maana wamesema lazima tufanye maamuzi magumu.
Sasa tuache mazoea tujifue maana wanapoendea kutakuwa na kufukuzana kazi.
Waliokazini nao watafuatwa kupimwaaaa.
Ujinga tu. Wanatafuta kilicho bora, mbona watoto wao hawawapeleki kwenye hizo shule zao, na badala yake wanawapeleka shule za private?Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.