masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,897
- 15,124
Nafikiri ilikuwa mimba ya mzee Horombo wa kule Mashati, Rombo.Hivi hii si ni sanamu ilijengwa baada ya binti kujirusha mtoni i.e kujiua? Nafikiri alipata ujauzito bila ndoa na kwa pande hizo it was a crime, those years? Hebu tukumbushane!!!
ndo ivo mkuuHivi hii si ni sanamu ilijengwa baada ya binti kujirusha mtoni i.e kujiua? Nafikiri alipata ujauzito bila ndoa na kwa pande hizo it was a crime, those years? Hebu tukumbushane!!!
mboro na mboya nkiki hamsikyii njoni basi tumuokoe jamani au mnasubiria mbeje kwenye msiba.
baada ya kubadili ndio wanaitwa mboya.Huu ukoo haupo tena kule Moshi, walishabadili jina baada ya kuona kiswahili kina leta utata na jina lao. So no more Mb..r. clan kwenye pande za kule.
Ha ha ha !mboro na mboya nkiki hamsikyii njoni basi tumuokoe jamani au mnasubiria mbeje kwenye msiba.
kibantu samtaimz utata mpogoro ameshawahi kukwambia anakupenda?kama hajawahi hebu muulize wao kupenda wanaitaje.Ha ha ha !
Nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu alikuwa anaitwa Mboro Sululu.
Mwalimu mgeni wa kike akifikiri tuna mtania vibaya na karibu tupewe adhabu, mpaka alipocheki vyeti vyake.
Yuko mmoja nafanya nae kazi.Huu ukoo haupo tena kule Moshi, walishabadili jina baada ya kuona kiswahili kina leta utata na jina lao. So no more Mb..r. clan kwenye pande za kule.