Aisee maisha ya Tanzania tabu sana

Aisee maisha ya Tanzania tabu sana

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
94,082
Reaction score
132,550
maisha ya tanzania kila siku afadhali ya jana....yaani huwa nkilala huwa natamani asubuhi isifike.......
 
...yaani huwa nkilala huwa natamani asubuhi isifike.......[/QUOTE]

...U mean unatamani Kufa or?
 
maisha ya tanzania kila siku afadhali ya jana....yaani huwa nkilala huwa natamani asubuhi isifike.......
wewe mrangi acha kulalamika badala yake fanya kazi kwa bidii na maarifa, maisha mazuri unayo wewe mwenyewe na maisha magumu unayo wewe mwenyewe, fanya kazi na ulipe kodi zote za serikali bila kukwepa na kwa wakati.
 
Rudi kijijini aisee

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
maisha ya tanzania kila siku afadhali ya jana....yaani huwa nkilala huwa natamani asubuhi isifike.......

MKUU VIPI TENA? si ungeenda hata bunge la katiba ungekuta sasa hivi unawaza utazitumiaje...
 
Life is simple ,nisisi Binadamu ndio tuna complicate .Ukiwa na mshahara wa laki 2 Ishi Kama laki moja na mshahara ukiongezeka Ishi kilaki moja hivyohivyo .Save more than you spend .wabongo mnapenda spending more than saving . Mshahara ukiongezeka mnataka big Tv Gorofa Haya .more money in the bank is health and more secure.Dada ako Natalia naishi na interest .cash cash no mikopo
 
Unatamani kesho isifike! Ziko njia kadhaa - unachagua mojawapo na kesho kweli huioni.
 
When life knock u down make sure u fall on ur back, coz if u can look up u can get up. In this life Never say Never to yur drms..NEVER , after while all it will be nothing but the past
 
Sasa we unadhani maisha ya nchi gani ni mazuri.ww unafikiri sawasawa kweli?
 
1.kodi ya nyumba
2.Ada ya watoto shule
3.Michango ya harusi,ubarikio,kitchenparty,
4.Chakula
5.Mavazi
6.Nauli za daladala
Mshahara laki na nusu
 
Ukiona yanazingua sana,Achana nayo...kwani lazima uishi?
 
Pole kwa yanokusib, badili mtazamo na ona ushindi sio kushindwa, ongeza juhudi na maarifa ktk kazi zako,
 
Mwanangu njoo huku kwe2 maisha simple xana ila ujue kulima mana nijembe asubuhi paka jioni ukilala unawaza utamaliza lini mvua zicizidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom