Aisee kuna wanaume wavivu

Waungwana salama,

Yaani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena. Unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo.

Naomba mnielewe yanii anapokojoa anahema vibaya na kuishiwa nguvu kabisa na usingizi juu kwa juu unambeba hadi ninamtikisa kuona kama bado uhai upo au ndo nimeua.

Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.

Wakoromaji na 30 seconds Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa pale.

Watukanaji mje na matusi mapya

Ukitaka kujua kama 30 seconds ni nyingi, hold your breath for 30 seconds.
 
Back
Top Bottom