Hiyo inanikumbusha nikiwa chuo kuna jamaa angu alikuwa anapenda kwenda sinza Africa sana...
Dada poa kasema bao moja 10,000..
Jamaa kaanza kwa mbwebwe...ile dada anamvisha mpira tuu...ukawa wakatoka [emoji38][emoji38][emoji38]
Afu balangdalalu akawa amelala fofo...! After one hour jamaa huyoo..
Ameingiza tuu....akaanza kupiga kelele...kumbe kina naniliu washatoka tena....[emoji38][emoji38][emoji38]
Kalipa 20,000 ya watu...
Chumba 20,000
5000 bajaji ya kurudi chuo..
[emoji41][emoji41][emoji41]! Hivi vitu vinahitaji uwe calmed sana!