Aisee... imenibidi nicopy na kupaste tu

nadhani ni vile nimeingia na kutoka kwa dkk1 akaniuliza vipi mbona hujamaliza mchezo?!nikamwambia tiar akaingia ndani alivyoona sakafu imeloa ndio kicheko kilianzia hapo
Mkuu ulitia fora ulikuwa umempania sana nn ila hawa viumbe bila kusimamia kucha hawatosheki inabid upige kweli kwele kesho utasikia bby
 
Ndo ujanja wako wote wa kuwabanjua ukaishia hapo


Kwa siku hiyo tu lakini.... Nilifadhaika sana...
Maana ndio ilikua mara yangu ya kwanza kulipia room 80,000/= kwa mchana mmoja tuu...
Sitosahau kubabake....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Kwa siku hiyo tu lakini.... Nilifadhaika sana...
Maana ndio ilikua mara yangu ya kwanza kulipia room 80,000/= kwa mchana mmoja tuu...
Sitosahau kubabake....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Angalia Poetic Justice mkuu, alichofanyiwa rafiki yake hayati tupac baada ya dushe kumtia aibu.
 
Hiyo inanikumbusha nikiwa chuo kuna jamaa angu alikuwa anapenda kwenda sinza Africa sana...

Dada poa kasema bao moja 10,000..

Jamaa kaanza kwa mbwebwe...ile dada anamvisha mpira tuu...ukawa wakatoka [emoji38][emoji38][emoji38]


Afu balangdalalu akawa amelala fofo...! After one hour jamaa huyoo..

Ameingiza tuu....akaanza kupiga kelele...kumbe kina naniliu washatoka tena....[emoji38][emoji38][emoji38]

Kalipa 20,000 ya watu...
Chumba 20,000
5000 bajaji ya kurudi chuo..

[emoji41][emoji41][emoji41]! Hivi vitu vinahitaji uwe calmed sana!
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] siku nyingine usirudie kujisifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…