Numbisa nimevumilia nimechoka, nimecheka mbavu tatu sina, nimetoka hospitali sasa sikia Numbisa nikiachika shauri yako maana mzee haelewi kinachonitoa machozi na kwikwi anaishia kulipa bill za hospitali. We haya. keep posting I love them though.

Wajukuu utawalea wewe we mwanaa? Keep posting hapa mzee nimemweleza kucheka ndo kuongeza maisha. Naenda huku kwako na kwa le muntuz. Nimeishi US. Ukienda UN embassy utakutana na Neema.