Aisee! Facebook kuna vituko

Numbisa
ingekuwa jambo la heri kama ungekuwa unaficha user name za hao watu na ingewwezekana na sura uzifiche kidogo.
mfano tu siku ukakuta picha ya mzazi wako au rafiki yako nazani itakuumiza kidogo
 
Wazo zuri ila hizi picha sizifati fb. Mie nazidownload insta zipo zimejaa tele. Wazazi wangu hawapo fb na hawapend kabisaa kuanikwa huko. Ila ikitokea ntajikausha tu na kuiacha picha hio huko huko ilipokua na kama ni rafiki wapo ila hawana vioja hivi.
Numbisa
ingekuwa jambo la heri kama ungekuwa unaficha user name za hao watu na ingewwezekana na sura uzifiche kidogo.
mfano tu siku ukakuta picha ya mzazi wako au rafiki yako nazani itakuumiza kidogo
 
nimekuelewa kama zimeshasambaa hadi huko kwa mange hata huku tukizificha haisaidi
 
Hii sasa ndo ile kitu ukisikiaga "mwaga mboga nimwage ugali"...mdada baada ya kuharibiwa mipango na Janjawidi Juma Kadara naye kaamua kuharibu ndo yake kwa makusudi kabisa.
Sipati picha mke wa Kadara apitie Post hiyo hahahaaaa!
 
Nani anae wafundisha Wanaijeria kiswahili jamaniiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…