white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,321
- 13,288
airtel yazindua huduma ya intanet ya 3.75G,ambayo itakuwa na kasi ya ajabu,tunaomba iwe ni kwa inchi nzima,sio iwe kwa dar tu!na iwe ni 3.75G kweli kwa speed sio kwa jina,kwani kuna mitandao mingine wanasema wana 3g,lakini spidi ni ya edge!
Nipe hiyo 4g uone balaa lake!Wengine hatuzimi pc zetu mpaka umeme ukatike!Wabongo bwana, ka mtu kanatumia internet kwa kuandika two line message kwenye facebook eti kanataka 4g, this makes me real happy!!!!
Maneno yako ni kweii tupu kwani eneo nilipo la kata ya Mjimwema Kigamboni Dar bado sijaona tofauti ya speed...muda mwingi ni EDGE tu. Voda na tiGO afadhali kidogo kwenye 3G.Lugha za kibiashara tu hizi hakuna speed itakayoongezeka zaidi ya kupungua kutokana na kuzidiwa na wataja
Ha ha ha! Mwakani wataongeza .3 na kuwambia sasa mnapata speed ya 4G chezea wezi wabongo wewe!
Nipe hiyo 4g uone balaa lake!Wengine hatuzimi pc zetu mpaka umeme ukatike!
Kaa ukijua wengi walalamikiao speed ujue wana heavy downloads!
---Believdat---
Airtel hawawezi kuwa hata na 3g, achilia mbali 3.7g wanayodai.
Hapa TZ wala hakuna mtandao wenye zaidi ya 2.5g ambayo ni Edge.
Lakini maadam tumejaliwa kipaji cha maneno na uwongo basi hata Uchumi wetu Umekuwa, Vincent siyo wa familia ya Nyerere, Shilingi ime gain kwa dola, na Airtel wana 3.7g.
kimsingi maeneo yenye 3G ni machache..at least wangecover maeneo yote..sasa sisi wa mpanda mpaka tuje dar?