hawa watu ni wazushi sana-kabla hata airtell kuja-mimi nilishashinda tupo point-wakanipgia simu wao zain-nakumbuka ilikuwa 2010 mwez wa 2,wakaniomba details zangu nikawapa-wakadai natakiwa kwenda ofisini kwao kuchukua medal yangu-ila wakanambia zilikuwa zimeisha kwa muda ule watanipgia zikishafka ofisni-cha ajabu mwez wa tano wakanipigia tena wakaniulza maswal yaleyale ya details zangu,wakasema watanijulisha,cha ajabu zaid mwez wa 8 tena wakani.call kuuliza same questions-nikawajibu na nikawambia mbona kila muda wananipgia-ina maana hawana records kuwa walishanipgia-mpaka sasa hawajanipigia tena na namini huo mchakato airtel hawataweza kuufanya-so ninachoona wote ni wezi tu