Selemani Sele JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 339 Reaction score 756 Aug 3, 2024 #1 Jana dakika zangu za wiki zilikuwa ndo zinaishia meseji ikaingia kwamba kifurushi kitajinunua chenyewe wakati sio makubaliano yetu tabia ya hovyo. nitawapeleka mahakamani
Jana dakika zangu za wiki zilikuwa ndo zinaishia meseji ikaingia kwamba kifurushi kitajinunua chenyewe wakati sio makubaliano yetu tabia ya hovyo. nitawapeleka mahakamani
kiredio Jr JF-Expert Member Joined Jul 8, 2024 Posts 1,124 Reaction score 2,076 Aug 3, 2024 #2 Hawana tofauti na Halotel wote matapeli
Selemani Sele JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 339 Reaction score 756 Aug 3, 2024 Thread starter #3 Kiredio24 said: Hawana tofauti na Halotel wote matapeli Click to expand... Hela yenyewe ya kulipa deni la watu wamekata nikaamua niende kwa wakala tu
Kiredio24 said: Hawana tofauti na Halotel wote matapeli Click to expand... Hela yenyewe ya kulipa deni la watu wamekata nikaamua niende kwa wakala tu
Village-in JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 2,416 Reaction score 5,004 Aug 3, 2024 #4 Selemani Sele said: Hela yenyewe ya kulipa deni la watu wamekata nikaamua niende kwa wakala tu Click to expand... Sijakuelewa. Wamekukata kiasi gani?. Hapo naona 1500? Ndio ilikuwa ya kulipa deni?. N unamaanisha utawapeleka mahakamani au sijaelewa
Selemani Sele said: Hela yenyewe ya kulipa deni la watu wamekata nikaamua niende kwa wakala tu Click to expand... Sijakuelewa. Wamekukata kiasi gani?. Hapo naona 1500? Ndio ilikuwa ya kulipa deni?. N unamaanisha utawapeleka mahakamani au sijaelewa
Selemani Sele JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 339 Reaction score 756 Aug 3, 2024 Thread starter #5 Village-in said: Sijakuelewa. Wamekukata kiasi gani?. Hapo naona 1500? Ndio ilikuwa ya kulipa deni?. N unamaanisha utawapeleka mahakamani au sijaelewa Click to expand... Yaani bando bei yake ni 1500 ila mtu anajiunga bando kutokana na matakwa yake hapo imereenew automatically bila ridhaa yangu
Village-in said: Sijakuelewa. Wamekukata kiasi gani?. Hapo naona 1500? Ndio ilikuwa ya kulipa deni?. N unamaanisha utawapeleka mahakamani au sijaelewa Click to expand... Yaani bando bei yake ni 1500 ila mtu anajiunga bando kutokana na matakwa yake hapo imereenew automatically bila ridhaa yangu
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,103 Aug 3, 2024 #6 Shida nn mkuu nipo hapa naweza kukusaidia... Je uliwasiliana na huduma.kwa wateja
Village-in JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 2,416 Reaction score 5,004 Aug 3, 2024 #7 Selemani Sele said: Yaani bando bei yake ni 1500 ila mtu anajiunga bando kutokana na matakwa yake hapo imereenew automatically bila ridhaa yangu Click to expand... Ok sawa. Kwa imerenew imetoa wapi hela ya kurenew?. Imetoa kwenye airtel money au wapi boss?. Hii mitandao ni wa ajabu sana
Selemani Sele said: Yaani bando bei yake ni 1500 ila mtu anajiunga bando kutokana na matakwa yake hapo imereenew automatically bila ridhaa yangu Click to expand... Ok sawa. Kwa imerenew imetoa wapi hela ya kurenew?. Imetoa kwenye airtel money au wapi boss?. Hii mitandao ni wa ajabu sana
L lamekiAgustino JF-Expert Member Joined Feb 4, 2024 Posts 481 Reaction score 1,320 Aug 3, 2024 #8 nyie mkiwasiliana huduma kwawateja simnatongoza wale mademu😕😕ubaya ubwelaaa