Karibu mwezi sasa wamekuwa wananinyima internet bundle kila ninapojiunga na yatosha. Kila nikiripoti nakutana na wale useless customer care ambao sijui hata wanafanya kazi gani maana hawana msaada wowote. Natamani kuhama Airtel
Mkuu nimekuwa natumia line hii kwa zaidi ya miaka 10, so kama ni settings za line haziko sawa ingetokea miaka mingi iliyopita so sidhani kama ni settings. Labda sie wenye line za zamani ndio tuna matatizoMbona airtel wako vizur tu? Nimekuwa nikinunua yatosha yao kwa wik nzima na wananipa bundle vizur kabisa na miez kama saba hiv tang niache kutumia internet ya v..... jarib kuongea nao kwa utuliv watakupa utaratib pengine setings za lain yako huko kwenye jiko lao haziko vizuri.
Mkuu nimekuwa natumia line hii kwa zaidi ya miaka 10, so kama ni settings za line haziko sawa ingetokea miaka mingi iliyopita so sidhani kama ni settings. Labda sie wenye line za zamani ndio tuna matatizo
Nakubaliana na wewe kwenye hili mkuu, nakumbuka zamani ulikuwa ukiongea na customer care wanakulink na kitengo husika on the spot na wanashughulikia tatizo lako hapo hapo. Siku hizi wana yale ma useless people pale halafu wamekariri majibu ya kutoa mpaka wanaboa yaani!Sioni ni wapi pa kukimbilia na ukajisifu! Labda hao Smart. Kwangu kwa Internet ni afadhali Airtel. Voda iko slow Ila tigo ni slowest kabisa. Kwa kweli huwa nawashangaa wanaosifia Tigo kwa internet!
Ila KWA customer care Airtel bado wana kazi kubwa! Mara nyingi huwa hawana solution kwa Mteja. Voda in wazuri kwa customer care.
Karibu mwezi sasa wamekuwa wananinyima internet bundle kila ninapojiunga na yatosha. Kila nikiripoti nakutana na wale useless customer care ambao sijui hata wanafanya kazi gani maana hawana msaada wowote. Natamani kuhama Airtel
Nataka nijaribu internet bundles za airtel, nione zikoje....sizifahamu nimejaribu kugoogle nimekosa...Naomba mnitajie
Huwa natumia tigo, GB 10 kwa wiki kwa elfu 6000.. Lakini imekua slow sana.... Nashindwa kucheki videos za mitandao ya TED na youtube. Msaada Tafadhali.