K kdc JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 637 Reaction score 200 Apr 18, 2015 #1 Mayunga From Tanzania ashinda Airtel Trace Music Star Africa Mbele ya Jaji Akon.Akon amwagia Sifa nyingi sana.Apatashavu la kufanya kazi na Akon.
Mayunga From Tanzania ashinda Airtel Trace Music Star Africa Mbele ya Jaji Akon.Akon amwagia Sifa nyingi sana.Apatashavu la kufanya kazi na Akon.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Apr 19, 2015 #2 Akon ni msanii wa kutupwa, alipokuja East Africa kwenye show nadhani ni Kenya kama sikosei akamuahidi bwamdogo mmoja mbele ya stage kuwa atamchukua na kwenda kufanya nae kazi hadi leo waaapi
Akon ni msanii wa kutupwa, alipokuja East Africa kwenye show nadhani ni Kenya kama sikosei akamuahidi bwamdogo mmoja mbele ya stage kuwa atamchukua na kwenda kufanya nae kazi hadi leo waaapi