Tatizo nyie ndo mnakosea ukiambiwa unlimited inamaanisha katika kifaa unachotumia sio ukaunge na laptop
Katika tangazo la offer ya switch hamna sehemu wameandika laptop, computer kwa sababu hiyo offer sio kwa ajili ya computer
In this world nothing is certain than Tax and Death.