SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,947
- 2,032
Niko busy nafanya mambo yangu,mara simu ikaanza kuita,tena namba ngeni +255784105583 muda ulikuwa sa 14:14 mchana huu.
Nilikuwa naongea na mtu,nkamkatisha ili nipokee simu ngeni,maana uwez jua anayepiga yuko kwenye mazingira gani muda huo,si unajua tena si watu wenye familia.
BAada ya simu kuita kidogo nkapokea kwa shauku kujua ni nani anapiga.
Mi nasema hallow eti nakutana na tangazo la kununua wimbo wa kuweka ili wanaonipigia wasikie,wakati wanaonipigia simu mimi asilimia tisini ni watoto wa mjini na habari hizi za kusikliliza simu ya mtu inaitaje ni za huko bush.
Pia ata hao wapigajI wenyewe walivyo na mishe mishe za maisha muda huo wa kusikiliza milio wanautoa wapi
Mamlaka inayohusika na kudhibiti hii mitandao iko wapi,mbona watumiaji wa simu tunasumbuliwa hivi.
One day mtakuja fanya tushindwe kutoa msaada kwa mtu atayekuwa akiitaji msaada kwa kuhofia au kupuzia kupokea namba ngeni kwa kudhani ni nyie mnaopiga.
Tumien radio,tv,mitandao,mabango matangazo yatatufkia.Mkrudia tena kunisumbua itabidi nichukue hatua