Wanabodi,
Hii ni kweli kabisa usiku wa Tarehe 21 na 22 nilituma pesa sh 10,000/- na 80,000/- kwa nyakati mbili tofauti ndani ya nusu saa nikiwa Bukoba kwenda kwenye namba 0719125715 kutoka kwenye namba 0688-01..18 nikapata kitambulisho rejea namba PN140221.2122.A.01459 na Kitambulisho rejea namba PN140222.0832.A00465.
Kesho yake yule niliyemtumia alipokwenda kuzitoa akashindwa, hakufanikiwa.
Aliponieleza nikafika ofisi za Airtel pale Bukoba ili wazireverse pesa zangu zirudi kwenye akaunti yangu kwakuwa nilishamtumia kupitia tigo pesa.
Mfanyakazi wa Airtel anayeitwa Simba wa pale Bukoba akaniambia nisubiri nusu saa, ikazaa saa moja, mbili na hatimaye hadi wanafunga ofisi pesa zangu hazikuwa zimerudi.
Nikapiga simu customer care, huko nikaambulia kuzodolewa na kujibiwa majibu yasiyo na staha na baadhi ya wasichana niliobahatika kuongea nao. Kwa hakika Customet care yao haikujishughulisha na mimi hata kidogo zaidi ya wale mabinti kunijibu hovyo na kunikatia simu.
Nikaenda kwenye mtandao wao, nikapata email yao ya kupeleka malalamiko, nikaandika malalamiko yangu. Aliyenijibu email yangu akakiri kuwa kuna tatizo kwenye airtel money kwenda offnet, na eti watazirudisha pesa zangu very soon. Nikasubiri kwa siku mbili hola!
Jana nikaenda ofisi zao pale Mwanza, nikapeleka tatizo hilohilo, mhudumu akaliverify akaona ni genuine aka escalate kwa wakubwa zake kwa ahadi kuwa very soon litakuwa solved. Hadi sasa hiyo very soon haijafika!
Leo nimefika hapa makao makuu yao, nimeleta tena hilo tatizo, nikajibiwa kuwa eti hizo pesa zilirudishwa kwangu usiku ule ule miliozituma na kwamba wao airtel hawahusiki kunirudishia hata shilingi kumi
Wiki nzima nimekuwa nikihangaikia pesa nilizozitafuta kwa jasho langu wahuni hawa wa airtel wameziiba tena bila hata haya wala soni!
Walivyo na dharau hata kumsikiliza mteja hawataki, majibu yao ya hovyo kumbe wanajua kuwa michezo yao ni wizi tu.
Ninaapa kwa jina la Mungu hizi pesa zilizobaki nikishazitoa sitakuja kutumia Airtel money milele yote
Asanteni Airtel kwa UTAPELI mlionifanyia.