and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,512
- 40,349
Hawa jamaa ukatumia huduma zao pesa ikakwama kwenda utasota sana kurudishiwa pesa. Hivi Airtel mkoje? Nilikuwa nalipia huduma dukani laki 8 haijafika simu hampokei
Fika makao makuu yao au nenda kituo cha polisi upate msaadaHawa jamaa ukatumia huduma zao pesa ikakwama kwenda utasota sana kurudishiwa pesa. Hivi Airtel mkoje? Nilikuwa nalipia huduma dukani laki 8 haijafika simu hampokei
Mungu wangu,haloteli ni wezi wezi majambazi mnooKaribu Halotel Mkuu!
Hujutii Uamuzi Wako
Walivamia hadi nyumban kwangu sio watu wazur kabisaMungu wangu,haloteli ni wezi wezi majambazi mnoo