Airtel modem

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
1,129
Reaction score
302
Heshima zenu wakuu. Naomba msaada hapa kidogo. nina modem ya airtel inapig kazi kama kawa ikiwa na network type HSPA ila ikibadilika kwenda HSDPA, inakuwa slow balaa yaani hata kufungu facebook page inabidi uwe na kikombe cha chai pembeni, wakati inaload unapata chai. Kuna jinsi gani naweza kwepa hii kadhia? Thanks in advance
 
Kwako Inapatikana HSPA?? maana Usije ukawa Unaweka hio Wakat eneo lako Edge Ndo Ipo Vyema
 
Kwako Inapatikana HSPA?? maana Usije ukawa Unaweka hio Wakat eneo lako Edge Ndo Ipo Vyema
INAPATIKANA SANA TU. wala sijawahi kucheza na settings za modem hii so nahisi inakuja yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…