Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
Biashara siku hizi si kubembelezana wamekuboa hamia kwingine pesa yako yanini kupata taabu kuna zantel, voda, tigo, ttcl shida iko wapi bana hama tu wasikubabaishe hao zain aka airtel
umeanza kututenga sasa sijui hata ka mada itaendeleaNhaule lumbulyangu wajilila! Au milimo minjia?
umeanza kututenga sasa sijui hata ka mada itaendelea
umeanza kututenga sasa sijui hata ka mada itaendelea
Nhaule lumbulyangu wajilila! Au milimo minjia?
Siyo huduma ya blackberry tu ambayo inasumbua,sasa hivi hata sisi tunaotumia modem zao tunalia ile mbaya, maana wanaiba GB zetu a hawaturudishii ,kwa sasa mtandao wao umekuwa slow sana yaani kero tupu.