Airtel mnatia Aibu!

Airtel mnatia Aibu!

malipesa2014

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
22
Reaction score
8
Customer service line is supposed to be free. Lakini mnapopigiwa customer service line (100) mnachaji Sh. 60 halafu hata hao customer care assistants wenyewe hawatoshelezi hata kidogo - they don't solve issues. Utaambiwa NTARIPOTI KWA IDARA INAYOHUSIKA! Plz tafakarini tena hii kitu mnatia aibu!
 
bora mkuu umeleta huu uzi, simu yangu haitumi sms leo siku ya tatu nikawapigia leo wakadai eti ni kweli kuna baadhi ya namba hazitumi sms kwahiyo watachukua namba yangu wataripoti kunakohusika! hiyo ilikuwa asubuh.. jioni tena nikapiga wakasema watapeleka namba yangu...#airtel hebu acheni uhuni huu.
 
Vodacom shida, tigo kizaizai,airtel tabu, ving'amuzi majanga,TTCL taabani, TBC kuzungumkuti!
Anyway, WAZIRI wa hizi idara anataka tumpe urais kwamba haya yote atayashughulikia!
 
Vodacom shida, tigo kizaizai,airtel tabu, ving'amuzi majanga,TTCL taabani, TBC kuzungumkuti!
Anyway, WAZIRI wa hizi idara anataka tumpe urais kwamba haya yote atayashughulikia!

Labda hukumuelewa mkuu.Yule bwana anataka awe rais wa wacheza mdumange.
 
Mkuu mimi niliwatumia msg kwenye FB wakaniambia hilo ni tatizo la AIRTEL Tanzania nzima na wanalishughulikia.
 
Vodacom shida, tigo kizaizai,airtel tabu, ving'amuzi majanga,TTCL taabani, TBC kuzungumkuti!
Anyway, WAZIRI wa hizi idara anataka tumpe urais kwamba haya yote atayashughulikia!

Aiseeee!! hii mitandao majanga yaani si airtel, voda wala tigo. Wamepunguza hadi dakika za vifurushi, wamepunguza mb za internet yaan ni majanga juu ya majanga.
 
Me cku moja nlishangaa na nkajiuliza nn maana ya customer care... Nadhan ni Tz pekee mteja akienda maulizo ni lazima kulipia... We have been sold by the few...
 
Ndio kawaida yao hata,unapojiunga na kifurushi halafu hujapa huduma ya kicho kifurushi wanakata,hela na huduma hupati
 
Back
Top Bottom