ipo sikuWaendelee kumuomba Mungu tusipate Rais mwenye akili timamu ambaye ataruhusu Elon Musk kutoa huduma za Internet!
Yaani waombe usiku na mchana lakini vinginevyo muda hauko mbali ambao watalia na kusaga meno!
Ngoja tuupe Muda Muda!
mvalie njuga huyo aliyekusajilia mpige vibao vya kutosha usilaze damu nduguMungu yupo mkuu haki yangu haitapotea
kuna siku nilimpiga wakala moja wa voda kama mwizi nilikuta kasajili namba mbili bila ruhusa yanguNamvutia kasi tu siku nikienda ni kelbu zakutosha
Comment No. 6 imenielewesha ulichokuwa unamaanisha na"Tapeli katepeliwa"tapeli katapeliwa na wewe watapeli mkutane mahakamani kinguchiro nguchiro
Ukiweka airtime wanakata hata kama hudaiwiiiMkuu usithubutu ni matapeli