Airtel mnaboa sasa!

Airtel internet (OMG!) in majanga hasa wakati wa usiku. Kama hawawezi hiyo huduma ni bora waisitishe. Unatumia saa nzima kufungua page (kama una bahati).
Najua wako humu. Wajirekebishe!
 
kwa kweli nilijiamini sana na airtel sikutaka kununua line nyingine lakini sasa inatosha.awali nilidhani mnara ninaotumia ndio una tatizo lakini last week nilisafiri toka hapa tarime hadi dar.sasa huko dar ndio usiseme.airtel ni majanga speedmwendo wa kobe sijajua tatizo lao nini hasa.pale mwanz pia speed niliikuta kama kobe tu.nina mchakato wa kusajili tigo leo ili niomdokane na adha hii ya airtel
 
airtel kelele kibao hadi tunaziba masikio - lakini mali hakuna - cha OMG wala mjomba wake!!!!!
 
Airtel internet (OMG!) in majanga hasa wakati wa usiku. Kama hawawezi hiyo huduma ni bora waisitishe. Unatumia saa nzima kufungua page (kama una bahati).
Najua wako humu. Wajirekebishe!

Unajua huwa tunapenda kulalamika ila wakati mwingine ss ndo huwa tuna matatizo
Airtel kama unawajua hawana hayo matatizo labda ni yako wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…