Airtel mmezima mitambo ya mawasiliano?

Airtel mmezima mitambo ya mawasiliano?

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
7,076
Reaction score
2,465
Mwenye taarifa atujulishe ni tatizo gani wamelipata Airtel siku ya Leo?
 
Mwenye taarifa atujulishe ni tatizo gani wamelipata Airtel siku ya Leo?

Nilidhani imetokea kwangu tu! kumbe tunateseka wengi, au ndo wameshauza maana hii kampuni kwa kujiuza inaongoza, ilikuwa celtel, ikawa zain, baadaye airtel, sijui leo wanajibatiza jina gani jipya
 
Mmhh Mimi natumia internet ya airttel na wala haijaniletea iyo shida mbonaa...... Hata apa natumia net yao tuuu...
 
Nilijua simu yangu mbovu mpaka nilipothibitisha kupitia simu nyingine
 
Mtu kuwa na laini moja sahivi jamani?? kuwa na nyingine uiweke tu ya dharura.
 
Mpendwa mteja, tunasikitika kwa usumbufu wa intaneti uliojitokeza hapo awali kutokana na tatizo la kiufundi. Huduma imerejea sasa. Asante kwa kuchagua Airtel!
Nimetumiwa sasa hivi
 
Pole shida nini mkuu! Mbona miamala kama kawaida?
 
Nawaomba Airtel mkafunge vizuri mitambo yenu hasa maeneo ya Mbagar Mbande Rufu kupata internate ni shida mno
 
Back
Top Bottom