Airtel kwanini mnaniibia?

Airtel kwanini mnaniibia?

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,898
Reaction score
1,051
Wana JF.Tarehe 6-5-2014 mwezi huu nilinunua kifurushi cha wiki na SIKUPATA hicho kifurushi nikapiga simu siku 5 mfululizo huko airtel wakaaidi kunirudishia ikawa hola hadi leo na kwa sasa nikipiga simu wananikatia.Kinachoniuma zaidi na jana Tarehe 12 -5-2014 nimenunua kifurushi cha wiki na SIKUPATA KIFURUSHI ILA PESA IMELIWA NA MATAPELI AIRTEL.
 
Hamia tigO haraka sana mkuu, Utafilisika muda si mrefu!!
 
Wana JF.Tarehe 6-5-2014 mwezi huu nilinunua kifurushi cha wiki na SIKUPATA hicho kifurushi nikapiga simu siku 5 mfululizo huko airtel wakaaidi kunirudishia ikawa hola hadi leo na kwa sasa nikipiga simu wananikatia.Kinachoniuma zaidi na jana Tarehe 12 -5-2014 nimenunua kifurushi cha wiki na SIKUPATA KIFURUSHI ILA PESA IMELIWA NA MATAPELI AIRTEL.

Airtel hayo sio maisha ya kudhulumiana.
 
nilinunua kifurushi cha voda cha wiki ikaisha baada ya siku 4.

Kununua kifurushi cha wiki si maana yake lazima kiishe baada ya wiki,hii kwisha kwake itategemeana na matumizi yako.
ukiwa wa kusoma mails,magazeti na habari za kawaida utamaliza wiki,lkn kama unapita kwenye videos,unashusha vitu vizito vizito unaweza ukamaliza kifurushi cha wiki ndani ya siku moja.
 
Wana JF.Tarehe 6-5-2014 mwezi huu nilinunua kifurushi cha wiki na SIKUPATA hicho kifurushi nikapiga simu siku 5 mfululizo huko airtel wakaaidi kunirudishia ikawa hola hadi leo na kwa sasa nikipiga simu wananikatia.Kinachoniuma zaidi na jana Tarehe 12 -5-2014 nimenunua kifurushi cha wiki na SIKUPATA KIFURUSHI ILA PESA IMELIWA NA MATAPELI AIRTEL.

mimi jana wamenipa dakika na sms bundle ya internet wakanichakachua ilibaki 0byte vilevile ,hawa wameanza ujambazi
 
Kununua kifurushi cha wiki si maana yake lazima kiishe baada ya wiki,hii kwisha kwake itategemeana na matumizi yako.
ukiwa wa kusoma mails,magazeti na habari za kawaida utamaliza wiki,lkn kama unapita kwenye videos,unashusha vitu vizito vizito unaweza ukamaliza kifurushi cha wiki ndani ya siku moja.

Nimekupata mkuu.
 
Back
Top Bottom