Airtel internet - is it down au ni mimi tu ?

Airtel internet - is it down au ni mimi tu ?

saq

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
268
Reaction score
12
Wakuu.
Naomba nijue, kama airtel internet inafanya kazi ?
Because for last few days IPO SLOW HALIMBAYA. NIPO KWEMYE SWITCHON YA MWEZI.
Ni saidiyeni jamani.
 
Mi mwenyewe nimebadilisha laini sasa hivi nimeweka ya tigo.., network yao itakuwa down..
 
Tigo package ipi ni nzuri ?
 
Wakuu.
Naomba nijue, kama airtel internet inafanya kazi ?
Because for last few days IPO SLOW HALIMBAYA. NIPO KWEMYE SWITCHON YA MWEZI.
Ni saidiyeni jamani.

airtel wameshajiunga na genge la majambazi, ukiweka yatosha kuanzia leo dakika wamepunguza na megabytes za shilling 2000 unapata mb 120 tu.

wataisoma namba muda si mrefu line zangu zote ninazo ni kubadirika tu kama kinyonga majizi makubwa haya.
 
Wakuu.
Naomba nijue, kama airtel internet inafanya kazi ?
Because for last few days IPO SLOW HALIMBAYA. NIPO KWEMYE SWITCHON YA MWEZI.
Ni saidiyeni jamani.

Mkuu hapa nilipo sina hamu!!hadi nikadhani labda ni simu yangu.kwani kama wiki 2 zilizopita nilijiunga na switch on ya mwezi,ilikuwa na spidi ya ajabu!!ila kuanzia juzi yaani ni zaidi ya konokono!!sasa cjui wana maana gani kama sio wizi tu.
 
Back
Top Bottom