figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,162 Reaction score 64,509 Oct 4, 2012 #1 kwa wale wanao tumia simu yenye line ya airtel wanaweza kutuma neno internet kwenda namba 232. Baada ya hapo utatumiwa text ya kuinstall ili uweze tumia internet kwenye simu yako. ni hayo tu. mia
kwa wale wanao tumia simu yenye line ya airtel wanaweza kutuma neno internet kwenda namba 232. Baada ya hapo utatumiwa text ya kuinstall ili uweze tumia internet kwenye simu yako. ni hayo tu. mia
Vangiporini JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 328 Reaction score 319 Oct 5, 2012 #2 tuma neno "ALL" kwenda namba hiyo hiyo ilikuweza kupata configurations zote kama vle za¡ïWAP¡ïMMS¡ïSTREAMING
tuma neno "ALL" kwenda namba hiyo hiyo ilikuweza kupata configurations zote kama vle za¡ïWAP¡ïMMS¡ïSTREAMING
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Joined Mar 13, 2019 Posts 1,709 Reaction score 4,508 Sep 12, 2019 #3 Muda uko kasi! Wakuu nisaidieni kupata cofiguration za airtel. Njia hapo juu naona ni njia ya muda kidogo.
Muda uko kasi! Wakuu nisaidieni kupata cofiguration za airtel. Njia hapo juu naona ni njia ya muda kidogo.
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,281 Reaction score 79,646 Sep 12, 2019 #4 Father of all Snipers said: Muda uko kasi! Wakuu nisaidieni kupata cofiguration za airtel. Njia hapo juu naona ni njia ya muda kidogo. Click to expand... Unatumia simu aina gani?
Father of all Snipers said: Muda uko kasi! Wakuu nisaidieni kupata cofiguration za airtel. Njia hapo juu naona ni njia ya muda kidogo. Click to expand... Unatumia simu aina gani?