duh mkuu we kiboko, wiki nzima dk35 tu
Uwa zinabaki,Situmii simu kupiga soga,bali mazungumzo mafupi
Cc tukusaidie nn!!!
Leo nilijiunga na kifurushi cha wiki cha sh.1999,ambacho unapata dk 35 sms 1000 na mb 125.Cha kushangaza kabla ya kutumia internet salio lilionesha nina 0byte.Nimejaribu kuwapigia watu wa huduma kwa wateja,wanapokea halafu kabla sijamaliza kujieleza wanakata simu.Huu ni uhuni
Kwenye simu au kwenye computer? Isijekuwa imeliwa na updates
kwenye simu.Haiwezekani mb 125 kuliwa na updates ndani ya dakika moja,hata hivyo ingeonekana iwapo kuna updates