tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Hii ni top up scratch card (recharge voucher) halali ya sh. 500/=, lakini cha kushangaza wafanyakazi wa Airtel wanauza kati ya sh. 600/= hadi 700/=, na vijana mtaani wanauza kati ya sh. 800/= hadi 900/=. Nimeiona jana Mbeya.
Ni aina fulani ya kukwepa kodi.
Ni aina fulani ya kukwepa kodi.