Airtel bundles disaster!

Airtel bundles disaster!

malipesa2014

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
22
Reaction score
8
Ni wiki ya pili sasa nikinunua kifurushi huwa sipati dakika za kifurushi, badala yake hela inaliwa kutoka kwenye main account. Nimepiga simu customer service mara kadhaa wananipiga danadana na inaonyesha hawajui wanachokifanya, kwani wanasema tatizo lako litakuwa solved baada ya 2 hours. Na hata jana nimenunua kifurushi, lakini mpaka sasa bado hakifanyi kazi inayopaswa! Naomba wanaohusika na matengenezo ya hitilafu hii fanyeni hima, kwani rates zenu za kawaida zinaumiza sana.
 
Seems hilo tatizo unalo wewe tu..sisi watumiaji wengine Wa Airtel hilo hakuna..so I don't think its a disaster
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom