Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 484
- 492
Asalaam aleykum wanajukwaa!
Sina mengi zaidi ya kusema airtel ni baba lao kwa sababu zifuatazo:
1. Huduma za kifedha ni nafuu. Kutuma pesa kwa airtel money ni bure kabisa, pia kutoa ni nafuu kuliko mitandao mingine.
Pia maduka ya airtel money yamejaa kila kona hadi nashindwa kuchagua nitoe pesa wapi.
2. Huduma za intaneti ni za uhakika. Ukiambiwa 1GB ni 1GB kweli. Unatumia hadi unawapigia customer care kwa nini kifurushi hakiishi.
3. Vifurushi vya airtel ni babu kubwa. Mi hua najiunga kifurushi cha mwezi 5000 mitandao yote napata dakika 250. Airtel airtel napata dakika 320 mwezi mzima kwa shilingi 4,000/=.
Vifurushi vya siku hadi shillingi 200 unapata dakika au MB za kuperuzi data.
4. Serikali inamiliki hisa asilimia 49 kwa hiyo ni kampuni ya kizalendo.
5. Airtel inatoa gawio kwa serikali kwa hiyo ukitumia huduma ya airtel unakua umeunga juhudi za JPM.
6. Airtel haidukuliwi ovyo kama mitandao mingine.
Ni hayo tu kwa leo, twende Airtel