Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni 4G yaani na ina download hadi 2.7MB/sMbona 4GB inaisha Bila hata 4G? Hapa nairemba remba tu sababu Nina hope itapandisha hio 4G, ila ikifika siku ya 5 haijapandisha nazimaliza GB zote nairudisha back bench laini yao, Kama ilipokuwa zamani.
Sisi hatujaanza kupata hip 4G tupo kwenye evolution bado, inakaa H+ dakika mbili, network inakataa Kisha inasearch upya inakuja Tena H+ etc, siku nzima Ni hivyo hivyo.Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni 4G yaani na ina download hadi 2.7MB/s
Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni
Hata mimi nilivutiwa na line ya mshkaji maana ilikuwa I nasoma 4G vizuri tu tena 3Mb/sec kwa Idm ndo nikaamua kuchukua yangu ila matokeo ndiyo hayo nimefika hadi makao pale Morroco nikaambiwa baada ya 24-48 hrs Itakuwa poa but sivyo kabisa.Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni 4G yaani na ina download hadi 2.7MB/s
Umejaribu kifurushi Chao Cha usiku unlimited?Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni 4G yaani na ina download hadi 2.7MB/s
Natumiaga kile cha 1500 Amsha popo GB10 na nazimalizwga zote.Umejaribu kifurushi Chao Cha usiku unlimited?
Mimi nimesajili jumatano wiki hii. 4G imepanda jana jioni. Ilikata leo mcha ikarudi h+ kwa dakika chache then ikakaa fresh mpaka saa hizi iko vizuri
Sio kweli. Nimeshatumia gb 3 nadhani mpaka kesho nitakua nimeshamaliza bando lote.Nadhani watakuwa wanazidhibiti Ile 4Gb yao isilike yote then ikishaexpire ndio wanaachia isome 4G lte
Nadhani variation inatokea kulingaba na eneoSisi hatujaanza kupata hip 4G tupo kwenye evolution bado, inakaa H+ dakika mbili, network inakataa Kisha inasearch upya inakuja Tena H+ etc, siku nzima Ni hivyo hivyo.
Kabla haijapanda 4G kwako pia ilikuwa inakata kata?Mimi nimesajili jumatano wiki hii. 4G imepanda jana jioni. Ilikata leo mcha ikarudi h+ kwa dakika chache then ikakaa fresh mpaka saa hizi iko vizuri
Ndio. Network ilikua inakatakataKabla haijapanda 4G kwako pia ilikuwa inakata kata?