Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Yes. Dar es Salaam. Sijajua mikoaniAirtel wana 4G???
Kweli iSee2MB/s na ping nzuri.... Sio mbaya kivile, wanajitahidi.
Walitulazimisha tusajili malaini yao ya kishamba sina mtu hata mmoja wa kumpigia, vibanda vya kutoa pesa na kuweka havipo.Yes. Dar es Salaam. Sijajua mikoani
Hapa nilipo inafika mpka 20Mbps inategemeana na uwezo wa simu yako tatizo lao ni vifurushi wamebana saanaSio mbaya sana...voda kipind wmeanza nakumbuka ilikua inafka 6MBs maeneo ya mbezi
Kuna jamaa mtaani wanafanya namna unapata vya University offerHapa nilipo inafika mpka 20Mbps inategemeana na uwezo wa simu yako tatizo lao ni vifurushi wamebana saana
Hope watafika mikoani soonYes. Dar es Salaam. Sijajua mikoani
Mimi Nina masaa Kama 30 Sasa Hivi haijapanda bado, ila jamaa Ni unprofessional Sana, yaani ununue line ukae siku kibao ndio ipandishe 4G, muda wote huo internet inakuja na kukata, sijui wanahisi hatuna matumizi au hakuna mitandao mengine?Mi Nina line yao mpya haipandishi 4G nimeenda hadi pale Morroco yaani wahudumu wa pale hamna kitu kabisa nimebishana nao sana wakaahidi suala litashughulikiwa na IT department so ni subiri 24-48hrs kitu kitapandisha 4g but siku ya 5 leo ni bila bila nimeamka kuachana na dude lao
Ndio ipo hivyo hivyo mkuu,Mimi Nina masaa Kama 30 Sasa Hivi haijapanda bado, ila jamaa Ni unprofessional Sana, yaani ununue line ukae siku kibao ndio ipandishe 4G, muda wote huo internet inakuja na kukata, sijui wanahisi hatuna matumizi au hakuna mitandao mengine?
Wenye 4G ya Airtel watupe feedback Kama ikipandisha 4G inaacha kukata kata,Ndio ipo hivyo hivyo mkuu,
Kwa simu Huwezi gundua kirahisi ila ukiweka kwa modem ndio utaona jinsi inavyokata kata ovyo.
Nadhani watakuwa wanazidhibiti Ile 4Gb yao isilike yote then ikishaexpire ndio wanaachia isome 4G lte
Mbona hata huku mikoani tumebadilisha line na kupewa za 4G na 4GB zimeisha hakuna kitu. Hawa jamaa wahuni sanaNadhani watakuwa wanazidhibiti Ile 4Gb yao isilike yote then ikishaexpire ndio wanaachia isome 4G lte
Mbona 4GB inaisha Bila hata 4G? Hapa nairemba remba tu sababu Nina hope itapandisha hio 4G, ila ikifika siku ya 5 haijapandisha nazimaliza GB zote nairudisha back bench laini yao, Kama ilipokuwa zamani.Nadhani watakuwa wanazidhibiti Ile 4Gb yao isilike yote then ikishaexpire ndio wanaachia isome 4G lte
Mi Nina line yao mpya haipandishi 4G nimeenda hadi pale Morroco yaani wahudumu wa pale hamna kitu kabisa nimebishana nao sana wakaahidi suala litashughulikiwa na IT department so ni subiri 24-48hrs kitu kitapandisha 4g but siku ya 5 leo ni bila bila nimeamua kuachana na dude lao
Sahihi hata mimi nimeisigina ila Kuna maeneo ipo Jau kweli 3g yao haizidi 100Mb/sec kwa IdmMbona 4GB inaisha Bila hata 4G? Hapa nairemba remba tu sababu Nina hope itapandisha hio 4G, ila ikifika siku ya 5 haijapandisha nazimaliza GB zote nairudisha back bench laini yao, Kama ilipokuwa zamani.