Airport ya dar es salaam (jnia) inatia kinyaa jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airport ya dar es salaam (jnia) inatia kinyaa jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 12, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa msafiri wa ndege mara nyingi sana tangu mwaka juzi hizi sehemu ziko wazi leo nimeona niwaulize ndugu zangu je hii airport ina management ama ndio uongozi kama wakina makamba jamani??? hii ni aibu rais upiti kule ndio maana auoni uozowanaofanya wafanyakazi wa mamlaka ya uwanja wa ndege...kila sehemu kwenye gape wameandika DAIKINI UNDER MAINTANANCE jamani huu upuuzi mpaka lini embu waziri husika kuweni sirrias jamani najua mwaweza danganya wa nje imetokana na mabomu je sie tunaopita miaka mitatu sasa mnatuambiaje

  Huuu ukarabati embu serikali fwatilien jamani hii kampuni inajenga ziaid ya mwaka hizi lift..na huko juu sasa hawa wanaootoa malipo lazima watueleze wanatoaje watu wanaishia kutubandikia matangazo uwanjan na kuacha roof ziko wazi....
   

  Attached Files:

 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  huyo ponjoro anatetemeka hata kutoa tkt alipoangalia juu
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Hapa utasikia kapewa jamaa mmoja mshikaji na mkurugenzi.
   
 5. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hakuna hata AC inayofanya kazi

  Yaaani Ukishuka kwenye ndege inakuwa kama vile unaingia MOTONI
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  unaweza ukahisi ni ofisi za GENERALTYRE LA HASHA NI UWANJA WA NDEGE WA TAIFA WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE....HAYO MACHUMA YANA MWAKA NA WATU WANAKUJA KUTENGENEZA KILA SIKU EMBU TUSAIDIEN NAO WAMEAJIRIWA NA TAA AMA NDIO KUPEANA ULAJI YAWEZEKANA KUNA KAMPUNI ZENYE UWEZO WA KUTENGENEZA KWA MUDA MCHACHE EMBU WAH MAWAZIRI ACHEN KUKALIA VITI VYA VIP KULE NA AC NENDEN MKAONE WANANCHI WALIOWACHAGUA WANAPOPITIA SIKU CHUMA KINASHUKA KUTOKA JUU SIJUI MNASEMAJE..???


  [​IMG]
  [​IMG]
   
 7. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli hii ni aibu kubwa sana, whats going on with the government???
   
 8. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mkuu hili nchi linaongozwa tu imradi siku ziende. Hakuna malengo wala nini.

  Mtu akiwa omba omba hawezi kufikiria kujiendeleza hata siku moja hili atoke katika hali ya kuomba. Anaishia kuwa mlemavu wa kuomba omba mpaka siku yake ya mwisho.

  Hapo sasa viongozi wanasubiri mtalii ajitolee kukarabati hio sehemu sio kwamba hawaoni, hapana sema wameshazoea kusaidiwa kila kitu kuanzia mawazo mpaka kuona matatizo.


  Uliona walivyojikusanya na matai yao wanazindua zima moto ya bajaji?
   
 9. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe una matatizo...Kwanini usiwaulize TAA pale ofisini kwao unakuja kubandika huku?...
  Muda wote uliopo hapo JNIA kama mdau unashindwa hata kutoa maoni yako kwenye ofisi za Maintenance au hata kwenye suggestion Box?
  Nijuavyo mimi stakeholders ni sehemu ya huduma, sijui unaona raha gani kuandika badala ya kutoa ushauri, wakati ofisi zenu na za Mafundi ni pua na mdomo!...yES, nimekumbuka, mpo watu wenye silika ya Kulalamika tu, bila kuchangia solution!
  Acha udaku bana...Tatizo hilo linajulikana na karibia watu wote wa hapa Uwanjani, na juhudi zinafanyika kulisolve!!...
  Angalia hii maneno Ndugu!
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  Fidel 80
  haya ndi mambo tusiotaka aiwezekan mtu anatengeneza sehemu miaka mitatu kuna machimbo ya madini anachimba..wapendwa kuna sehemu ya kupandishia ngazi wamefukunyua sasa ni miezi 5 watu wanapanda manual..bila ngazi na watu wamekaa kimya wanapishana na magreese dem management atuziitaj nowdays
   
 11. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Veri true..yani hata joshi afadhali!!..Ndiyo Tanzania yetu hiyo!!
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  una uhakika unacho (kinena)??
   
 13. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nina uhakika!
  Ukijua KAKA watu wanajua KUKU!...Kuwa makini bana!
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Nimeambiwa jamaa anaendelea kufanya upembuzi yakinifu huu unaweza endelea hata miaka 5 na anaendelea kula fungu tu.
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  Mkuu Black Moses
  unajua hata makamba alipooandika barua ya kujiuzulu sio kwambaa akupigiwa kelele......,alisemwa sana sana lakini mwisho wa siku nahisi unaujua,,hata rais wa ivory coast si kwamba akuambiwa ondoka mwisho wa siku anakutwa kwenye tendo la ndoa..so labda tukusaidie wamesema sana na kizuri umeandika binafsi wanajua hili sasa kama wanajua hili na wameambiwa wana zaidi ya mwaka ulitaka tukawambie tukiwa uchi ndio watekeleze???BM acha bana hata kama kuna ka ten P kana ingia kuwa muungwana jamani angalien tourist wangapi wanapita pale njooni tupasuen kwenye barabara wekeni hata lami za mgomba poa tu tutapita lakini ile mnatia aibu..embu mwambie bosi wako mrekebishe


  MH AGUSTINO L MREMA TUNAOMBA AUDITING YA HAWA JAMAA
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Tunajua bado mnafanya upembuzi yakinifu.
  Vile vile tunasubili vifaa vitoke Brazil kuvisafilisha inachukua miezi 6.
   
 17. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu mbona pale kwako kunateketea na husemi kitu!
  Tengenezeni kwanza ya chumbani kwenu ndo urukie ya wenzako!...
  Kukosa kazi kubaya sana!
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wako bize wanajivua magamba
   
 19. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa heshima ya mzee wetu J.Nyerere waubadilishe jina laJulius Nyerere International Airpprt ni dhihaka kubwa sana kwake na udhalilishwaji wa jina lake.

  Hii ndio Tanzania na Serikali ya Chukua Chako Mapema na hivi karibuni wamejivua gamba la nyoka na sasa wana vaa la chatu
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  haaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  kula vaisroooooooooooooooo mbili ukifika pale pdidy garden.niachie invoice
   
Loading...